Am sure wengi wenu mnajiuliza au unawaza kimfuko kidogo kile cha mbele ya jeans kina kazi gani ???maana wengi wetu huwa tunaona tu hako kamfuko lakini hatujui kazi yake wala huwa hatukatumii.
Mifuko ya jeans inakuja mbele mifuko miwili ,miwili nyuma na wakaongezea kamfuko kadogo ka rectangular ambako kako attached na mfuko wa mbele.
So wajuzi wa mambo wanasema kazi ya kile kimfuko ni KUWEKEA SAA ,According to Renata Janoskova cited Levi Strauss, iconic American jeans brand alisema the pocket is a “watch pocket”
“Back in the 1800s, cowboys used to wear their watches on chains and kept them in their waistcosts. To keep them from getting broken, Levis introduced this small pocket where they could keep their watch.”“Ni mfuko maalum wa kuhifadhi saa.
Miaka ya nyuma ya 1,800, watu wengi walikuwa wanapenda kuvaa saa zao katika cheni na kuzifungia katika viuno vyao. Ili kuweza kuweka salama saa zao zisivunjike na kuharibika, Levi, watengenezaji wa kwanza kutengeneza suruali za Jeans wakaamua kuweka mfuko huo mdogo mahali ambapo watu hao wangeweza kuhifadhi saa zao salama na kwa wepesi zaidi.
Tangu hapo suruali za Jeans za aina zote zimekuwa zikitengezwa na mfuko huo mdogo bila kujali fasheni iliyopo kwa wakati huo. (Udakuspecially)
No comments:
Post a Comment