huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita peplum ya visu mana mshono wa chini ni wa mikato flani ya visu.African Print imemixiwa na Fringe.tunatupia Mishono mikali ilokiki kwa wiki nzima huko mitandaoni










Mko vizur
ReplyDeleteIt was real good fashion i like it
ReplyDeleteGood...imekaa poa... I like it
ReplyDeletempo vizuri sana
ReplyDeleteNimeipenda San iyo iko pow
Delete