Mdau huyu alituandikia email akiwa anatafuta tiba ya ngozi soma zaidi hapa Natafuta Daktari wa Ngozi
Sasa aliandika tena akiwa amepata tiba aliandika tena email kuhusu habari hii nzuri ,naomba ku share nanyi hii
Habari Shamim
PLEASE HIDE MY NAME KAMA UTAIPOST TENA
Yaani sijui nisemaje. But ulinipostiaga kuhusu my struggle na chunusi…if you can recall kupitia hii mail.
Mungu Akubariki sana, nilipata feedback kutoka kwa followers wako baadhi walishauri nitafute dermatologist…and i did
Nilimuona Dr Mboneko wa Mbezi Medic linic Tangi Bovu
Nilianza Tiba December ambapo nlikunywa Three doses, na kupaka dawa usiku na asubuhi
Dada, leo hii sina chunusi hata
moja….nimestruggle ma chunusi for more than 15 years coz nlizipata
niluvyovunja ungo na leo nina 33 years you can tell. Nimepaka kila aina
ya dawa hadi MKOJO trust me, nliwahi ambiwaga wakati nipo advance school
nikaishiaga kuungua uso coz mkojo ni too acidic!!
Nimebakisha kusmoothen ngozi tu coz bado Bado ipo rafu lakini ninaendelea na kupaka lotion tu
Nimetumia dawa Tatu
Vidonge-Acnotin nimekunywa for three months 90 pills ( 180,000)
Retin A ( 0.0025) Usiku (Sh 80000) na
Clindermiclyn (80000)asubuhi hadi April
Chunusi zote zimeisha, I swear to God,
namaanisha zote and i am chocolate skin mwili mzima. Kwa sasa nimeambiwa
niache dawa zote hizo juu Napaka lotion tu ambayo alinipa pia
nimeisahau jina but ni Sh80000 napaka asubuhi tu.
Jumla nimetumia 180000+80000+80000+80000
Pamoja na consultation fee ya ef20000 kila mwezi for four months hivyo pia ni 80000 ukijumlisha hapo unapata Total Cost!!
Siamini, Siamini!!
Nimeona niweke na cost kabisa mtu
ajipimie, na mimi chunusi zangu zilikua chronic, kwa ambao meaning kuna
wanaweza tumia hela ndogo zaidi
Na Dokta kaapia nikioata tena chunusi basi yeye sio Professor wa Ngozi ( coz ni Professor yule baba)!!
Kwa hiyo hapa napaka hiyo lotion tu. Kusmoothen ngozi!!
ALHAMDULLILAH!!
Mwenye Tatizo share nasi huwezi kujua utapata tiba au dawa hata ushauri mzuri tu ,
Asant mdau kwa kurudi na feedback hii SHARING IS CARING
No comments:
Post a Comment