wa wale ambao nywele zao ni relaxed na
umepanga ku-transition back to natural hair, there are these go to
hairstyles ambazo ndio zitakufaa katika kipindi hiko hadi nywele zako
ziwe full natural and ziwe na a defined texture, yani all relaxed hair
ziwe zimeshatoka kabisa…Ooor you can just have the big chop.
1.ROD SETS
Rod sets, nadhani ndio inaitwa
mirija..unaweza kuweka mirija bila hata kukaa kwenye dryer..kama una
transition unatakiwa kuacha kutumia moto kwenye nywele.
2.TWIST OUTS.
Hizi unatwist nywele zako then baada yamda unfumua, zinakuwa na mawimbi natural
No comments:
Post a Comment