Sunday, 6 May 2018

JINSI YA KUCHORA/KUJAZA NYUSI ZAKO KWA KUTUMIA BROW POWDER.

Kabla hujaanza kujihusisha na mambo ya makeup ni vitu vingi sana unakuwa hujui na nadhani kuwa bado wapo wale wasiojua utaratibu wa makeup vizuri, kama vile makeup products au makeup tools..na hivyo kuna wengine bado wanatumia wanja wa kawaida kujazia/kuchorea nyusi zao, hiyo pia ni sawa lakini brow powder ndio better zaidi.jinsi ya kuchora nyusi
Kuna brow powder aina nyingi, zingine zinakuwa zimeandikwa kabisa brow kit/brow powder /eyebrow powder kwa juu au kwa chini. Ni vizuri ukachukua rangi ya brown na nyeusi au uliza mtu anayeuza akiweza kukurecommend kutokana na rangi yako.brow 5
Jinsi ya kujaziliza/kuchora nyusi zako.
Uwe na brow powder. eyebrow brush (ingia humu kujua aina za brush) na concealer.
Anza kwa kuzichana nyusi zako kwa kutumia spoolie brush, kama hauna tumia kitana kidogo, then chukua brow brush yako na uchukulie brow powder kisha uanze kupaka.
Kama haupo vizuri katika kupaka unaweza kutumia eyebrow shaper (angalia hapa video ya da zeze akitumia eyebrow shaper) na uchore shape inayokufaabrow 11
Then chukua foundation yako ili usawazishe ile iliyotokeza/kunyoosha ule brow powder. Tumia concealer brush kupaka mstari mwembamba ulionyooka ukifuatisha uliyochora au kujaziliza nyusi zako. Fanya hivi kwa juu na chini kisha sawazisha vizuri.
brow 9

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...