Sunday, 6 May 2018

HAIRSTYLES ZITAKAZOKUFAA KIPINDI CHA KUBADILI NYWELE ZAKO TO NATURAL.


wa wale ambao nywele zao ni relaxed na umepanga ku-transition back to natural hair, there are these go to hairstyles ambazo ndio zitakufaa katika kipindi hiko hadi nywele zako ziwe full natural and ziwe na a defined texture, yani all relaxed hair ziwe zimeshatoka kabisa…Ooor you can just have the big chop.
1.ROD SETS
Rod sets, nadhani ndio inaitwa mirija..unaweza kuweka mirija bila hata kukaa kwenye dryer..kama una transition unatakiwa kuacha kutumia moto kwenye nywele.
b6 (1)
2.TWIST OUTS.
Hizi unatwist nywele zako then baada yamda unfumua, zinakuwa na mawimbi natural
b7 (1)

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...