Monday, 10 September 2018

NJIA ZA ASILI ZA KUSAIDIA MAZIWA YASIANGUKE


Common issue kwa wanawake wengi ambayo wengi inabidi ku cope nayo especially tunapokuwa watu wazima ni MAZIWA KUANGUKA .Ni kwamba maziwa yanapoteza ile elasticity yake tena na utu uzima YANA ANGUKA,Hii inazidisha kuwa na self awareness na insecurity  ambayo iko related to appearance mtu unaanza kujichukia au kila siku kujishtukia kuwa maziwa yameanguka.  Maziwa yana poteza ile  firmness na inatokana na mambo mengi kama Mimba,Menopouse,unhealthy diet, rapid weight gain or weight loss, excessive tanning, unsuitable bras vaeni braa zinazowatosha , cigarettes, alcohol na nyinginezo.Linapokuja swala la mimba sio Kunyonyesha ndo kunafanya maziwa kuanguka bali ni ile weight gain baada na kabla ya kujifungua.breastlift-illustrations-droop-01
NJIA ZITAKAZO SAIDIA KUZUIA MAZIWA KUBADILIKA (muwe wavumilivui hizi njia ni slow )
1.Maintain a healthy weight muwe na ule mwili healthy maintain mwili wako usiwe overweight.
2.Drink plenty of water Maji wanasema ki afya kuanzia lita 3 na kuendelea tujitahidi jamani.
3.Follow a healthy diet and workout routine hapa healthy diet means badili mfumo wako wa maisha na anza kula healthy iwe ndo maisha sio ile unakula mwezi ukipungua warudia tena mi chips.
4.Regularly apply oils or creams made of pomegranates or aloe vera.
5.There are also some treatments which can be extremely efficient in preventing sagging breasts:
6.Physical exercise targeting the chest area, such as push-ups, weight-lifting, etc.
7.Breast massages, preferably with ice.
8.Breast massages with vegetable and essential oils.
how-to-prevent-saggy-breast
RECIPE: Recipe hii waweza tengeneza/andaa mwenyewe nyumbani kwako.
Mahitaji
1 Mtindi ( kulingana na wingi wa mchanganyiko unaotaka)
2 vitamin E oil (yanapatikana madukani)
3 Mayai
Maelekezo
Changanya mtindi,mayai na mafuta yenye Vitamini E kwa pamoja (changanya mchanganyiko vizuri)
Paka mchanganyiko huo kwenye Maziwa na fanya ku massage taratibu ,Acha kama Saa moja na Nusu halafu osha na maji  safi ya baridi.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...