Thursday 23 August 2018

Online Shopping yamponza Shilole ,Plus nakupa tips ya vitu vya kuzingatia ukishop online


The perks of shopping online ,yani kushop online kunahitaji umakini sana sana ,sio kununua tu ,iwe website za nje au ku shop tu locally kwenye page za instagram .
Shilole kasemwa sana kuhusu her dress ambayo ilikua strapless hakuvaa bra yani muda wowote the girls wangekua nje mbona ingekua shughuli da Mwajuma .
So this picture ndo original dress ambayo Shilole aliiona online and akanunua akakuta majanga matupu.May be tatizo liko kwa Shilole au kwa website alonunua ,ntakupa my take on this one.
Kwanza huyu model sio plus size which means huwezi kumtumia huyu kama kipimo cha size yako pekeee ,so Shilole kama kwenye website size zilikuwepo kubwa hadi hiyo ulovaa ikaingia mwilini which sio size yako my thinking ni kwamba ulichukua the wrong size of the dress .
HAKIKISHA UNAJUA SIZE YAKO KWANZA
Jamani cha kwanza before shopping online know your size ,kapime hips ,kifua ,mikono kila kitu then nenda kwenye chats za kimataifa kujua wewe una fall kwenye size ipi.
Size zinatofautiana nchi na nchi ,mfano Uk ,Us ,Europe,China etc ,make sure unajua size yako kwa nchi husika ambayo unataka ku purchase nguo au nguo ilipotengenezwa,Wengi wanatumia international charts ,hii ni mifano tu ya charts .
kuna hadi sizes za bra 
READ THE DESCRIPTION SECTION VERY CLOSELY
Wakati unataka kununua nguo soma maelezo yote kuhusu hiyo nguo kuanzia material,size ,kama ina stretchy or not wanaandikaga maelezo kibao ila wengi wakishasoma size na bei wamemaliza ,huwa hawa andiki maelezo yale for nothing,wanasema material nzuri ya kunua nguo kama una doubt na size nunua yenye stretchy material
mfano this dress
$370.
La Femme Women’s Size ChartInchesCentimeters
00024681012141618202224
Bust32″33″34″35″36″37″38″40″42″44″46″48″50″52″
Waist24″25″26″27″28″29″30″32″34″36″38″40″42″44″
Hip35″36″37″38″39″40″41″43″45″47″49″51″53″55″
Hapa wamekuwekea na size guide ambayo utaweza kujipima ujue size yako
Exemplifying the trend-right look of lace-up styling, slender straps crisscross the deeply dipped open back of a bewitching gown cut from luxe, color-soaked velvet. A curvaceous illusion neckline makes the most of lovely décolleté.
  • Plunging V-neck with illusion inset
  • Sleeveless
  • Mermaid skirt with slight train
  • Open back with crisscrossing straps
  • Lined
  • 100% polyester
  • Spot clean, line dry
  • Imported
  • Special Occasion
  • Item #5526004

KWA GAUNI KAMA LA SHILOLE SOMA KAMA KUNA SUPPORT YA KWENYE  “bust support” or “built-in cups” 
Hii ingesaidia kujua kama the dress ambayo haikua na mikanda ni strapless the girls zingekua supported na nini ili kama hamna hizo bust support ajue anatafuta bra mapema ya kuvalia gauni lake.
SOMA REVIEWS
Kingine kama unaona nguo ina mfit model vizuri sana lakini hauko sure labda kwenye watu wa size yako nguo itakaakje jaribu ku search social tags ya watu ambao wanaweza kua walinunua hiyo gauni kuona ili wakaaje au cheki reviews kwenye website kujua the real deal au truth about the dress ,kama ni true to size nk ,Ni muhim sana sababu reviews zinakusaidia sana kujua unachonunua na reviews zitakupa mwanga wa kweli about the product you want to purchase .
KUA FLEXIBLE 
Jua kwamba sababu gauni ni la blue kwenye screen haimaniishi litakua blue in real life ,so uwe ready incase ulitaka royal blue ikaja blue ya kawaida.So uwe ready kama ni kurudisha uweze rudisha .
SOMA VIZURI RETURN & EXCHANGE POLICY 
Kingine wabongo wengi hatujui au hatuzingatii ni kusoma return policy ,kwakweli ni muhimu sana soma vizuri sio ukae na nguo mwezi ndo uje urudishe wakati policy inasema urudishe ndani ya siku saba,so kua aware na return policy ya sehem husika ambyo umeshop mfano
  • Is there a charge for requesting an exchange or return?

    Exchanges and returns at Zara.com are always free of charge, using our return methods.
  • How long do I have to make an exchange or return?

    All returns or exchanges must be made within 30 days of the e-mail confirming shipment.   More information in the Purchase conditions.
    Zara.com reserves the right to reject returns sent or communicated beyond the return period limit, or items which are not in the same condition in which they were received.
  • How can I make an exchange or return?

    •  At Zara stores: go to one of our Zara stores, as long as the store is in the same country in which the purchase was made. You will be able to make a return or request an exchange in size or colour.
    •  At Zara.com: go to My Account > Orders and returns to request an exchange in size or make a return.
      • Home: We will send a courier to collect your return from the address you select.
      • Drop-off point: We will send you a label so that you can take the items you wish to return to the RoyalMail office.
    If you placed your order as a guest, you will be able to make a return by accessing the link included in the order confirmation email.
  • Can I keep the original item after having requested an exchange?

    No. If 14 days have passed since requesting the exchange and we have not received the original items, you will be charged the amount using the original payment method.
  • Once I have exchanged an item, can I return the new item?

    Yes. You can return it within 30 days of the e-mail confirming shipment of the new order.
  • Can I exchange or return any item?

    Yes, as long as it is in perfect condition and has all its labels on it. Keep the following exceptions in mind:
    •  Swimwear: must include the hygiene sticker.
    •  Underwear: underwear items may not be exchanged or returned, except for baby sizes 0 to 36 months.
    •  Accessories: must be returned in their full original packaging.
    •  Fragrances: must be returned in the original sealed packaging.

      When will I receive the refund for my return?

      You will receive the refund in the same payment method used for the purchase within approximately 10-14 days, depending on your bank.
    • KUA NA RAFIKI FUNDI CHEREHAN
Hakikisha una rafiki fundi cherehani nikimaanisha anaekujua vizuri ,anaejua measurements zako ,anaejua mikato gani unapendeza ,so ukipokea nguo yako kama inahitaji few adjustments unampelekea tu ana ifanyia editing unavaa nguo yako sio kurudisha tu kama haihitaji marekebisho makubwa,
Mwenye zingine anaweza kuongezea tujifunze zaidi,Jamani tunaelekea kwenye ulimwengu wa Online shopping whether you like it or not so ni vizuri uka anza kujifunza vitu hivi mapema.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...