Good Morning buriful people
weekend iliendajeeee???
karibu kwenye walonoga

Miss Jojo ni muda sasa huja slay naona kazi za chama zilichachamaa
welcome back,and ume slay hard in this gold number by maccouture 



Nandy ameshinda tuzo ya mwanamuziki bora wakike Afrika mashariki kwenye tuzo za AFRIMA mwaka 2017 ,Go baby girl

Hurray kwa king Kiba kwa kunyakua tuzo mbili kwenye Afrima Awards 2017
kupitia nyimbo ya AJE REMIX aliyomshirikisha rapa M.I Kutoka nigeria #Wimbo huu umeshinda kwenye vipengele viwili ambavyo ni wasanii /kundi bora african rnb, soul pamoja na wimbo bora wa kushirikiana.

Honger kwa msanii Bill Nas kwa kupata stashahada yake ya kwanza pale chuo cha CBE ,Shule ni muhimu sana
Done
Deal 🙏🏿🙏🏿 ni Baraka za Pekee Sana…Mungu wetu ni Mwema…Big S/O Kwa
Familia,Wazazi na Ndugu…Momma I made it pia big s/o kwa @aman.lyimo na @chanch_floyd Mmekuwa
Watu Muhimu Sana Kwenye Maisha Yangu katika kila Hatua….Big S/O kwa
Wana CBE wote Kuanzia Uongozi,Walimu,Wanafunzi Wenzangu Mpaka Walinzi
Mlifanya nikione Chuo Sehem Salama Sana na Kukipenda pia…Big S/O To My
Ex-Girlfriend Ulikuwa unapata tabu sana Kuniamsha mara kuweka Alarm Bt
Now I made it…Natambua Mchango Wako Pia…Bila Kumsahau @mrttouchez ulikuwa unaweza kunifikiria hata nikiwa chuoni bado ukanitumia Beat Kali na Tukapata kazi Nzuri Pia Big Thanx to @tidmusic @mwanafa Hamkutaka
nishinde Maskani Muda Wa Masomo…. Major Thanx kwa Media zote ambazo
zimekuwa zikisupport mziki wangu hata bila kuwachek sababu ya kuwa busy
na Masomo na kushindwa kufanya Interview za hapa na pale….it’s all
Love…sio Mwisho Bali Ni Mwanzo Wa William Mpya…na Bill Nass mwengine

Hongera nyingi kwa Madam Ritha kwa kuozesha binti yake Evelyn,kuzaa raha jamani 











father and son goals

subirini atageuka soon
Da Shami rocking an evecollection dress

Hamisa Mobeto aka chuchunge aka Tununu me ananifurahisha anavyoandika siku hizi 







Nadeka = Nadeyka
kanoga Masha Allah

simplicity is everything
Mama Alaska ulipendeza
No comments:
Post a Comment