Tuesday 31 July 2018

Mwanamke Jikubali Unavaa Nywele za Bandia ili iweje?

Natumaini mko na afya njema katika jamii ya kitanzania wanawake wengi wanavaa nywele za bandia a.k.a mawigi.

Utafiti wangu wanawake hawa wavaa mawigi wanadai kuwa yametengenezwa kwa katani, Kitu ambacho sio kweli.

Ukweli ni kwamba mawigi ni nywele halisi za binadamu kwa sababu nywele huundwa na protein inayoitwa fibrous protein, Ukichoma nywele yako huwa inatoa harufu fulani ambayo ni unique hivyo basi hata haya mawigi ni nywele za wazungu walizonyoa ndo mnavaa eti mmependeza.

Mwanamke unayevaa mawigi anaweza kuwa kuwa na sifa kuu moja tu nayo ni mchafu wanawake acheni kuvaa mawigi mnavaa manuksi ya mizungu iliyokufa.

Mwanaume usiruhusu mwanamke akaingia na wigi ndani mwako asije akakuletea mapepo jikubali jinsi ulivyo wewe unaevaa Mawigi.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...