Monday, 16 July 2018
Muonekana wa rangi ya asili kwa kutumia vipodozi asilia
Natumia mafuta ya Vestiline ambayo kwa kiasi kikubwa yanasaidia kutunza ngozi yangu lakini pia kumbuka kula matunda kama karoti mbichi, matango nk husaidia kungarisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo. Ni vyema kutambua ngozi yako ni ya aina gani kwa vipodozi sahihi wakati mwingine ni vizuri kuwauliza wataalamu kwa matumizi sahihi ya vipodozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
Watu hawa kwa hakika wanafuata mitindo na fasheni ya aina fulani katika mavazi, katika kutengeneza na kukata nywele zao, katika harakati z...
-
Kujipenda na Jithamini kimwili na kiakili huongeza furaha yako. Mwili wako ni chombo cha muhimu sana katika maisha yako ya s...
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...

No comments:
Post a Comment