Thursday 5 July 2018
Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani
Kuna namna nyingi ya kutengeneza uso iwe nyumbani au saluni. Pia ni vizuri kama kutakuwa na kuelekezana jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani.
Ni Muhimu ukafuata hatua zifuuatazo;
1.Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako.
2.Scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi na jani la chai.
3.Fanya toning ya maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weka kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kaoro kwenye tatizo.
4.Tumia ute mweupe wa yai ambao utakuwa umemwagika katika taulo lako na kujisugua tartibu.
5.Jisafishe na maji ya vuguvugu .
6.Fanya toning tena kama livyokuwa kwa hatua za tatu juu.
7.Ili kuondoa ukavu za ngozi , kata matango na yabandike katika ngozi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
:Kumbe Ukosefu wa Makalio Makubwa Unawafanya Wanawake Wasijikubali Unahisi kwanini
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Upo wakati ambapo baadhi ya wasichana huwa hawaridhiki na maumbile yao ya asili, wengine hupenda kuwa wembamba hasa pale mtindo wa maisha...
No comments:
Post a Comment