Friday 20 July 2018

Jinsi ya Ku Accessorize Natural Hair


Short natural Hair (1)Wale wenye TWA Teeny Weeny Afro kuna njia nyingi za ku accessorize natural hair zako,sio lazima ziwe ndefu za kubana basi ndo uweze ku accessorize hata zikiwa fupi tu basi waweza tumia vibanio vile viko so cute kuweza kuzi accessorize.
Vlogger Barabara anaonyesha kwenye Video yake utaona njia kibao na vibanio vingi anavyotumia .

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...