Wale wenye TWA Teeny Weeny Afro kuna njia nyingi za ku accessorize natural hair zako,sio lazima ziwe ndefu za kubana basi ndo uweze ku accessorize hata zikiwa fupi tu basi waweza tumia vibanio vile viko so cute kuweza kuzi accessorize.
Vlogger Barabara anaonyesha kwenye Video yake utaona njia kibao na vibanio vingi anavyotumia .
No comments:
Post a Comment