Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na fair skin ila hizo areas ni korofi zenyewe ndo unakuta ngozi ni nyeusi inaboaje????Ila am sure unawaza kwanini una hilo tatizo i got you covered nimewasakia suluhisho ,Sababu kubwa ni ile constant rubbing of the thighs against each other(mapaja yakiwa yanagangana sijui nsemeje kiswahili kizuri au yanasuguana wakati unatembe ,tena inatokea sana kama mapaja yamekuwa makubwa ndo maana ile post ya wiki ilopita niliwawekea video ya kutoa mapaja makubwa sasa mapaja makubwa yanaenda sawa na ngozi yake kuwa nyeusi,pia kama ngozi ni kavu sana itasababisha weusi pia .
Nimesaka njia natural za kutoa weusi huu japo ziko za dukani .
1.ALOE VERA GEL
Tunajua wote jinsi Aloe Vera inatibu magonjwa mengi sana ,inazuia hadi cancer ,na ina contain subastances nyingi za kusaidia ku restore cells za ngozi yako,wanasema utapata results nzuri ukichanganya na Almond oil ambayo iko vizuri kwenye Vitamin E ,so chukua 2 table spoon ya Almond Oil na Aloe vera gel changanya massage sehem kuna weusi ,kama huna almond Oil tumia tu aloe vera yenyewe paka mapajani au kwapani acha kwa dakika 20 osha,kama wataka result haraka haraka paka daily .Paka na gloves ni chungu hii balaa.
2.BAKING SODA
Hii ni rahisi kila mtu anaweza kupata ,hii ina tabia ya ku exfoliate ngozi ,rinses the skin na huwa ina uproots dark and stained skin ,chakufanya ni mix baking soda na maji kuwa na uzito kidogo weka kwa sehem yenye tatizo iwe shingoni,kwapani au mapajani acha hadi ikauke then osha na maji ,fanya hivi kwa wiki mara mbili.
3.CUCUMBERS
Hii vegetable ina contain powerful skin-lightening properties,ndo maana huwa wanaweka hadi kwenye macho mkienda for facial inasaidia toa weusi ule kwenye macho ,ukitaka better results wanashauri u mix limao na matango.Matango pia yatafanya ngozi yako iwe smooth na limao linasaidia kutoa zile blemishes/spots kwenye ngozi yako na huwa limao lina kama bleach flani hivi itakayosaidia kulighten ngozi yako sio kukuchubua inang’aa tu na weusi utapungua.
4.LIMAO
Limao liko rich in Vitamin C na antioxidants ambayo inazifanya ziwe effective kwenye kutoa cells ,pia zina uwezo wa accelerate the regrowth of healthy skin cells (skin cells zitakuwa nyingine ambazo ni healthy zile zilizokufa zikishatolewa),limao inasaidia pia ku tone ngozi yako.Paka juice ya limao kwenye area zenye tatizo hilo acha kwa dakika 20 osha then kama una mafuta paka .Waweza ongeza na asali kwa limao upake kwa pamoja na kurub kwenye mapaja yako/shongoni/kwapani.
5.COCONUT OIL WITH LEMON JUICE
Hapa kinachofanyika ni kuwa mafuta ya nazi ni mazuri sana kwa ku mosturize ngozi yako ambayo ni kavu na pia ku lighten ngozi yako wakati limao tumesema lina blemishes ngozi yako maana lina virtue ya bleaching.So mix juice kidogo ya lmao na matone au kijiko cha mafuta ya nazi inategemea na wingi unaotengeneza ,massage kwa dakika 15 ,futa na nguo kavu then osha na maji ya vugu vugu.
6.SUGAR,ASALI NA LIMAO
Sukari ni nzuri sana kwa ku exfoliate ngozi yako ila si nzuri kuila tu maunene.com itasaidia pia ngozi yako kutoa zile dead skin cells ,asali ni natural moisturizer ,mix 1 teaspoon of sugar na 1 tablespoon ya asali kwenye juice ya limao ,apply it kwa ku rub gently in i a circular motion baada ya hapo osha na maji ikishakaa dakika10 .Si mwajua kuna watu wanafanya scrub ya sukari .
Mkumbuke kuwa hizi ni natural remedies so ukisikia neno bleaching au skin lightening ni kidogo sana na unataka kutoa weusi kufanya ngozi irudi kwa rangi yake ,sio kwa kiasi kile cha cream msichanganye madesa
No comments:
Post a Comment