Thursday, 7 June 2018

Kosa No . 1 La Kiafya Watu Bado Wanalifanya

Man_vs_Woman_original_13736-1024x640 Kosa No . 1 La Kiafya Watu Bado Wanalifanya
Unakula vizuri vyakula vya mimea kama diet yako , Unausogeza mwili wako mara kwa mara, Una ratiba yako nzuri ya kufanya mazoezi. Ukienda shoping yako unanunua vitu vya Organic na vya kienyeji  kwa ajili ya kula kilicho safi.
Umeponya moyo wako kutokana  na tabia zako zote, kiasi cha nguvu zako ziko vizuri. Mood yako, na digestion yako iko vizuri. Mahusiano yako yapo vizuri,Maisha yako yamejawa na ucheshi. Stress unaidhibiti kama kawaida.  Ni kitu gani hasa kinaweza kukosekana?
Kama uko vizuri katika ufahamu wako, inaonyesha uko makini kwa kila unachokiingiza ndani ya mwili wako inapokuja suala la chakula.
Lakini unaweza kusema hivyo hivyo na katika virutubisho?
Huenda wewe unapenda kutumia virutubisho  kama vya multivitamin, Vitamin D3, Omega-3s. Ni vema kufahamu ukweli.
Sio virutubisho vyote  vimetengenezwa sawa.
Vimewekwa hivyo ili kufikiria viko vizuri.  Tangu hivi virutubisho kuwepo kwa ajili ya kusaidia  afya za watu, Mchanganyiko wake ni salama na wenye kiwango cha juu.
Kwa kuongezea hapo. Unafahamu  hivyo virutubisho vimetengenezwa wapi?
Vilikotengenezewa ndio  deal kubwa–hasa inapokuja Kudhibiti ubora wake na usalama. Una uhakika gani kama hivyo vimetoka katika mahali  bora na salama kwa kusoma juu ya lable?
91040396__vitamind_thinkstockphotos Kosa No . 1 La Kiafya Watu Bado Wanalifanya
Ni kitu gani hasa huwa unakiangalia kwenye  virutubisho? Ni vitu vingi ndio. Huenda kitu cha muhimu sana ni lable. Lakini virutubisho vizuri vinatakiwa  visiwe na  ladha tamu, au kuongezwa rangi. Kwa hio kwenye lable inatakiwa kuwepo vitu muhimu tu vinavyohitajika kwa mtumiaji sio ladha ya utamu. Kama utakachokiona kilichoandikwa kwenye lable ndicho ukikute ndani.
Tafuta Brand ambayo unaiamini.
Ni bahati kama ukipata brand ambayo unaiamini,  hutakuwa mtu wa kufikiria sana. Utaokoa muda wako , na utakuwa na ujasiri unapotumia ndani ya mwili wako. Na sio tu usalama lakini pia unapata faida.
Ni vizuri kupata ushauri pia kabla ya kutumia. Lakini kumbuka sio washauri wote watakupa ushauri ulio kamili. Uwe na uhakika na mshauri wako , asiwe ni muuza vidonge vya virutubisho ambavyo havina kiwango kizuri.
Lakini kama  utapata mshauri mzuri  ni salama kwako na utakuwa na ujasiri wa kutumia. Furahia virutubisho vyako vilivyo na kiwango cha juu.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...