Council of Fashion Designers of America CFDA Awards zilifanyika jana na Kim Kardashian alishinda Influencer Award.
Kim alinoga sana sana alivyovaa maxi skirt na crop top nyeupe aki flaunt her sickening abs we are jealous
Kim ame deserve hii award kabisa sababu kwenye fashion she is leading haijalishi amevaa matambara yake au la,watu wanapenda style yake na wanamcopy kila kukicha.
Mwaka huu tu Kima ameweza ku launch KKW Beauty empire yake akiwa na full range of cosmetics na fragrances,akiwa amefanya collabo na Kanye since alikua star wa Yeezy season 6 ,na pia kmapeni yake na designer Donatella Versace, who created the ultimate Kim K dress at this year’s Met Gala, a gold chain mail design perfectly tailored to the star’s famous curves.
Kwenye speech yake alisema anashangaa kapa Awards wakati anakuga tu hajavaa nguo muda mwingi.
“I am kind of shocked that I am winning a fashion award when I am naked most of the time,” Kardashian West quipped when she took the stage to accept her award, adding, “But this is seriously such an honor, so thank you to the CFDA for this award.”
No comments:
Post a Comment