Hyper-pigmentation/Pigmenti ni vile
ngozi inatokewa na alama kama kovu, inakuwa rangi darker kuliko rangi
asili ya ngozi yako. Wengi hutokewa hii baada ya kupata vichunusi/acne
unavyotoboa na ile inayokaa kwa muda bila kutibiwa. Na wengine hutokewa
hii baada ya kujifungua.
Inaweza kupunguzwa kwa kula vyakula vyenye anti-inflammation kama vile nyanya, samaki, kutumia olive oil nk.
Kabla ya kuenda kwenye hizo njia unazopaswa kutumia, hiziz ni few tips unazotakiwa kuzifuata::
- Kunywa maji ya kutosha ili ngozi yako iwe hydrated na isikakamae, kunywa green juices na maji fresh ya nazi.
- Fanya Exfoliation mara 2 kwa wiki, ili kuondoa ngozi iliyokufa.
- Kuwa na subira..Patience! sio unaanza wiki 2 tu unaona hamna mabadiliko then unakimbilia madawa makali, mwisho wake unaishia kujichubua.
- Usitoboe wala kukuna hivyo vichunusi/acne itazidisha tu.
No comments:
Post a Comment