Thursday 9 November 2017

KUMBUKUMBUKU YA MISHONO WALIYOWAHI KUVAA MASTAA WETU MIAKA YA NYUMA

HII ILIKUA WOMEN CELEBRATION YA MWAKA 2011,MISHONO IMEANZA SIKU NYINGI Alhamdulillah tumetoka mbali na tunakoelekea kuzuri zaidi,siamini blog ina miaka 5 what an achievement.
Kwenye mwaka huu wa kutimiza miaka mitano ya utendaji,tulisherehekea kwenye women celebration na mgeni rasmi akiwa Mh  Angela Kairuki.
Sahami Mwasha
Dina Marious ndo alikua Mc wa shughuli
Red carpet
Shamim na Catherine Magige
Amina Design
Mboni


Mwamvita Makamba enzi hizo CL ndo habari ya dunia nzima ,shosti alikua nazo tayari
Adeline Mushi


No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...