Wednesday 31 January 2018

Men Slayers at the Grammy’s

This year kwenye tuzo za Grammy sio wadada tu walipendeza nafikiri wakaka nao walipendeza thena zaidi.Walitokelezea in amazing suits ,and styling zilikua sio za nchi hii ni za hukuhuko majuu.
Hawa ni baadhi ambao walinoga sana kwenye red carpet.
Ne-Yo gave us a doze of yellow velvet ,this coat stole the show period 
 
Sam Smith : To wear green on red carpet for Sam nafikiri ni kitu kipya kwake so i love the idea,suit by  Cerruti 1881 double-breasted suit.
Childish Gambino Monochromatic white
Big Sean With a head-to-toe look from the Salvatore Ferragamo Spring 2018 collection,he looked handsome

Zayn Malik

Wearing a mauve Richard James Spring suit with a white Time’s Up rose patch.
JOHN LEGEND looked dapper in this Burberry double-breasted tuxedo styled with Chopard cufflinks. I liked this sleek midnight-blue deviation from the standard black tux.

DJ Khaled

Wearing a red vevet suit and black bow tie.
Fabolous Wearing a teal printed tuxedo jacket, black pants and black bow tie
P.Diddy

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...