Wednesday 31 January 2018

Beyonce Avaa hereni zenye thamani ya Tz Shillings Billion 15 kwenye tuzo za Grammy

Am just speechless ,Sababu huku byuma vimekaza kuna watu wamebarikiwa na kua too rich that wanavaa hereni za mabilion ya shilingi.
Its about Value baby ,Beyonce skiiped the red carpet na kupita mlango wa nyuma kwenye tuzo za Grammy akiwa kavalia jigauni la velvet custom made by designer Nicolas Jebran Couture,huku her earring zikiwa zimefunika gauni lake lenye high slits .
The eaarings were  gigantic Lorraine Schwartz  zenye thamani ya $6.8 million which ukipiga mara 2250 utapata mabilioni ya fedha kwa hela yetu ya Ki Tanzania.
She wore heels by  Jimmy Choo and a mini clutch bag by Judith Leiber and her make-up artist revealed that her look was inspired by the Black Panthers.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...