Wednesday 31 January 2018

MISHONO #276 :WCB WANOGA NA VITENGE KWENYE UZINDUZI WA WATAKUBALI BY MBOSSO

Kwenye uzinduzi wa Watakubali by Mbosso ilofanyika jana and we are loving WCB walivaa vitenge ndo mambo tena ya kuproote biashara za familia.
They are also good kwenye kutengeneza themes na kuvaa some kinds ya sare flani hivi.
Daimond kavishwa na Speshoz
Shoe game nimeipenda
Mbosso alivaa koti la kitenge 
Harmonize and RayVanny

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...