Yeah leo tupo na Naturalista and fashion blogger Cinosanda Sandele,huyu ni mu Angola anaishi Netherlands ,anaongea kireno ambacho nimesoma pale chuo cha Diplomaisia ,najua jua kidogo havinishindi.But me napenda hair style yake ana natural hair zile laini na pia she has ana amazing style ambayo ina m suit mtu yoyote.

she is gorgeous 


when the streets are her runway
love this look



mum jeans 

kitenge 

No comments:
Post a Comment