Tuna throwback from post ya July 8 mwaka 2016
Nahisi Noel is obsessed with Kanzu kwa kuangalia tu many times ameweva kutinga kanzu utaona his love for this attire,Napenda anavyoa add his own touch kwenye mionekano yake ya kanzu.Its Friday na ni perfect for this look,hope utakuwa inspired na wewe next week Insha Allah utinge hivi ukasali.

Kanzu with Kimono ,kilemba and mirrored sunglasses

such a clean white and blue look

He used a beret hat instead of Baraka shee for this look,do you like ???

Another Blue kanzu with just kilemba ,this time alitupia tu kilemba hakufunga

Rock Kanzu with a blazer




Kipindi cha Ramadan pia alivaa sana Kanzu ,hapa ilikuwa mualiko wa Iftar 

Love this look simple and stylish

He rocks kanzu with sneakers wakati most of you mnavaa na sandals,well ina depend pia na unapoenda au ulipo

Hapa ni just a beige/brown Kanzu hakukua na acessories zingine zaidi ya Viatu na saa
No comments:
Post a Comment