Wednesday, 7 November 2018
Jinsi ya KUNG'ARISHA meno yako kirahisi
Utafurahia kucheka sana kwenye kundi la watu kama meno yako yatakuwa yanang'ara lakini kama una meno yenye rangi ya njano utajikuta unaishia kutabasamu. Meno ni moja kati ya kiungo muhimu sana katika kinywa cha kiumbe yeyote yule. Na kwa sisi binadamu meno yanatusaidia kwa kiasi kikubwa sana mfano hauwezi kula vizuri kama hauna meno. Vile vile meno ni siraha yanaweza kukupa company kwenye Ugomvi. Leo nimeona nijaribu kukuletea maada muhimu sana ya jinsi gani unaweza kuyafanya meno yako yang'ae zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha pesa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
:Kumbe Ukosefu wa Makalio Makubwa Unawafanya Wanawake Wasijikubali Unahisi kwanini
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Mwanamke Kitenge,Ni Ukweli Usiojificha Kuwa Vazi La Kitenge Halitotoka Katika Fashion. Unaweza Kushona Gauni Fupi Kama Hili ...
No comments:
Post a Comment