Kwenye mshono leo tucheki suruali bwanga za kitenge /vitenge au khanga.Wide leg trousers ni moja ya trends za mwaka huu 2017 ziko everywhere so kwa wale wanaopenda vitenge jishonee,na zinapendeza sana zikiwa high wasted especially kwa watu wafupi ,ukivaa highwaist unaonekana mwembamba zaidi.
Tucheki basi jinsi unaweza kuzi style ikitokea umeshona au hata kama ni ya kitambaa unayo hizi ways zinaweza kua applied pia.

for work pair your Kitenge trousers with white top

for a more sexy look rock a belted blazer waweza add a crop top inside au just a lingerie bra 

love this white crop top for a hot day out


mix the prints 

mix textures hapa kuna kitenge ,denim na leather


simple way is to pair it with a black top or white tee

No comments:
Post a Comment