Monday, 1 October 2018
MITINDO 25 YA MAGAUNI MAFUPI YA VITENGE. Mwanamke Kitenge,Ni Ukweli Usiojificha Kuwa Vazi La Kitenge Halitotoka Katika Fashion. Unaweza Kushona Gauni Fupi Kama Hili Na Ukavaa Na Stoking Nyepesi Kipindi Cha Joto,Na Wakati Wa Baridi Ukavalia Stoking Nzito Ingawa Wapo Wapenzi Wa Nguo Fupi Huweza Pia Kuvaa Hivyo Hivyo. Msho Huu Unaweza Kuvaliwa Kanisani Hata Ofisini.Pic Moja Na Nusu Ya Kitenge Inakutosha. Vazi Hili Waweza Vaa Kwa Church Au Ofisini. Unaweza Jifunga Kipande Cha Kitenge Kimoja Chini Na Juu Ukavalia Top Yeyote Isiyo Ya Kitenge Na Ukawa Poa. Mtindo Huu Wa Kitenge Ni Mzuri Kwa Mtu Mnene Au Aliye Natumbo Kubwa,Itamfanya Aonekane Nadhifu. Pin on Pinterest Street Style,Unaweza Kutengeneza Longtop Kama Hii Na Kuwekea Kitenge.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
Watu hawa kwa hakika wanafuata mitindo na fasheni ya aina fulani katika mavazi, katika kutengeneza na kukata nywele zao, katika harakati z...
-
Kujipenda na Jithamini kimwili na kiakili huongeza furaha yako. Mwili wako ni chombo cha muhimu sana katika maisha yako ya s...
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
No comments:
Post a Comment