Tunakaribia kumaliza mwaka sasa hivi na kama wadau basi wa mitindo tutakuletea series ya mishono mbalimbali uwezo shona wewe na familia yake kwenye x mas au harusi au ubarikio kwa wale wanaoenda Moshi.
Mnaosafiri kateni tiketi mapema jamani lile struggle sio mchezo.

MAGELE YAO NOMA


LOVE THIS BOW THING HAPA MBELE


SUPER CUTE 

PINK BABES 

LETS DO WHITE 

ONE SHOULDER 

SILVER 

KUMBE SILVER NA BLUE YAPENDEZA HIVI

GREEN

PINK






No comments:
Post a Comment