Kila siku wabunifu wanajitahidi kuja na vitu vipya tusiwachoke,Magele yashafungwa sana hapa bongo huko Nigeria ndo nyumbani kwao hamna traditional wedding bila gele.
Weell tulizoea style nyingi nyingi za kufunga gele

kuna style hii ya Wema 

nyingine kama hii Lulu alofungwa 

love this yellow

hizi za rose flower nazo zilitamba


but sasa hivi kuna mfungaji wa malemba anaitwa TBOYGELE ndo mkali wa hii style mpya ya fan
sijui alikua ana angalia feni yake ikampa inspiration?

mwaonaje would you rock this???


No comments:
Post a Comment