Spain ndio nchi inayolima zeituni kwa wingi,unaweza ukala tunda la zeituni au ukatumia Mafuta yake extra virgin oil kwa kupikia chakula, yanabei ya juu kidogo yanapatikana supermarkets Kwa bei tofauti kulingana na brands bei kuanzia 10,000Tshs na kuendelea inalingana na ujazo. Mazuri kwa watoto pia wa miezi 6 na kuendelea kupikiwa kwenye vyakula inakuza ubongo.
zaituni unaweza tafuta.
Maradhi yanayotibu au kuepuka kupatwa
Cancer-mafuta ya zeituni yana olecanthal na of mimics inayozalisha ibuprofen inayosaidia kupunguza hatari ya kupata cancer.
Matatizo ya moyo
Blood pressure- inapunguza matatizo ya pressure ya juu na chini.
Kisukari-inasaidia kucontrol blood sugar .
Kupunguza uzito,wenye calories nyingi olive oil inasaidia kupunguza unene.
Hutibu maumivu ya mifupa
Unajiepusha na stroke
Inakusaidia uwe na kumbukumbu nzuri (improve memory)
Zeituni inafanya moyo wako usizeeke -unavyozidi kukua moyo huzeeka.The
Inapunguza stress
Kukuepusha na cancer ya ngozi,cancer ya ziwa
Matumizi yake ukitengeneza salad (kachumbali) wekea olive oil
image
Olive oil hayana calories nyingi kama ️Mafuta mengine.
wenye ngozi kavu tumia pia,massage ya watoto wachanga au wakubwa tumia (ukishikwa na misuli tumia kuchuwa)
Kutumia kwa urembo wa nywele husaidia kukuza nywele zilizo katika au ️ kujikunja(fungamana) unaweza changanya parachichi na mafuta ya olive oil ukapaka na kuosha baada ya dk 20-30 ️Au ukachanganya mayai na olive oil.
image
Products nyingi za nywele wanatumia olive oil .
wenye Kukosa choo watoto mchanganyie na chungwa ,Maji kidogo na asali mpe ila asali kwa watoto wa 1yr na kuendelea .
Kutengenezea sabuni
image
Kutumika kama mafuta ya kupaka mwilini kukufanya kuwa nyororo na ng’avu yana vitamin A,D,E na K zinazo saidia kutoa sumu kwenye Ngozi pia.
infection ya sikio kwa watoto mweke matone 2 mara 3 kwa siku.
Mafuta ya zaitunii yanatibu mafua,unapaka nje ya tundu za pua mara 2-3 kwa siku yatakauka kwa haraka
watoto na watu wazima wenye tatizo (bawasili)wameota kinyama sehemu ya kutolea haja kubwa ,wanapata maumivu wakijisaidia ,wajipake sehemu ya aja kubwa kabla na baada ya kupata ajakubwa! Ilainishe mishipa!
No comments:
Post a Comment