Friday 24 August 2018

UTUNZAJI WA NYWELE KIASILI



Kama nywele zako hazikui/zimekatika tumia hii steaming ya kienyeji.
MAHITAJI
1. parachichi
2.kiini cha yai la kienyeji
3.kitunguu saumu punje 4
4.asali
5. mint juice
Vichanganye pamoja kwenye blender.

Osha nywele zako kisha paka huo mchanganyiko, vaa mfuko wa plastik au kaa kwa dryer 15 minutes kisha osha na kuset nywele zako.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...