Friday, 17 August 2018
Sababu 8 Nywele Zako Zimeacha Kukua / 8 Reasons Your Hair Stopped Growing
Hello Loves, kwa wale ambao tumeweka dawa the reasons are obvious, dawa inakata nywele. Hata ukizitunza vizuri kivipi there is a point ambapo zitakuwa zimeharibika kabisa.
So to all my natural sisters, mnajua kwanini nywele zenu zinaacha kukua, Natural hair ni kazi sana kuzitunza and with the right care nywele zako natural zinaweza kuwa ndefu sana. Endelea kusoma chini kujua sababu ya nywele zako kuacha kukua Au zinaonekana tu kama hazikui...
SHRINKAGE / KUNYWEA.
Afro- textured hair huwa zinaji-shrink, sio kama nywele zenye dawa. So kama upo kwenye process ya kukuza nywele zako natural na unaona kuwa hakuna maendeleo ya kukua. Do not think kuwa nywele hazikui, zinakuwa but because of the shrinkage ndio maana zinaonekana hivyo, but ukizinyoosha you will see kuwa ni ndefu kuliko zinavyoonekana.
POOR HAIR HABITS / TABIA MBOVU ZA UTUNZAJI.
Tabia mbovu ni kama vile kutumia heat/moto ukiwa una style nywele zako, kuweka style ambazo zinavuta sana nywele na kusababisha zikatike, kutumia rangi / bleach. Vitu vyote hivi kusababisha nywele zikose nguvu na kuanza kukatika.
SHORTER HAIR GROWTH CYCLE.
Kila mmoja wetu ana mzunguko tofauti ikija katika kukuza nywele, wengine mrefu wengine mfupi. Hii yote inategemea na genetics, mzunguko wako ukifika mwisho then nywele zako ndio zinaishia hapo hadi mzunguko uanze tena. Nimesoma sehemu specialist akielezea kuwa mzunguko unaweza kuwa kati ya miaka 2 hadi 6.
DRY HAIR THAT LACKS MOISTURE / NYWELE KAVU ZINAZOKOSA UNYEVU.
Kama hutunzi nywele zako vizuri basi zitakuwa kavu na zitakuwa hazina unyevu, hivyo zitaanza kukatika. Nywele zinaweza kukatika the same speed ambayo hukua, that is also why unaweza kuona kuwa nywele zako hazikui.
POOR DIET & NO EXERCISE.
Yes Loves, hata diet na mazoezi yanachangia kukua kwa nywele. Kama wewe unakula tu ma-junk food and you expect kuwa nywele zako zitakuwa vizuri na zenye afya, then you are so wrong. You need to eat healthy na kufanya mazoezi, get you blood pumping ili kuweza ku-promote hair growth. Ikiwezekana you can even take Vitamins kama vile Vitamin B, A na Zinc ambazo hukuza na kuepusha nywele kukatika.
HEALTH ISSUES / MATATIZO YA KIAFYA.
Mwili wa binadamu huwa njia nyingi za kutujulisha kuwa kuna tatizo fulani, hivyo kutokukua kwako kwa nywele inaweza kuwa sababu moja wapo. Ukipona nywele zako hazikui na zinakatika bila sababy, yani unazitunza vizuri na wewe pia unakula vizuri but still bado hakuna mabadiliko then go see the doctor.
USING THE WRONG HAIR TOOLS.
Pia kama unatumia tools ambazo hazifai kwa wenye nywele natural the pia itasababisha nywele zako kutatika na kuacha kukua, Now kuwa tools kabisa special for wale wenye natural hair, so go and invest in some good tools for your hair. Kwa mfano tumia machanuo yenye meno makubwa.
IT MAY BE TIME FOR A TRIM / INAWEZA KUWA MDA WA KUKATA NCHA.
Kila baada ya muda unatakiwa kukata ncha, punguza nywele ambazo zimeharibika. Hii process isaidia nywele zako kukua haraka, na hata kuziepusha kukatika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
:Kumbe Ukosefu wa Makalio Makubwa Unawafanya Wanawake Wasijikubali Unahisi kwanini
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Mwanamke Kitenge,Ni Ukweli Usiojificha Kuwa Vazi La Kitenge Halitotoka Katika Fashion. Unaweza Kushona Gauni Fupi Kama Hili ...
No comments:
Post a Comment