Friday 24 August 2018

JIFUNZE Jinsi ya kujiremba kwa wanawake


Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughurini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe mweusi kapaka poda ya mtu mweupe wadad tunatiana aibu kwa hili
Au amejipodoa miwanja hizo eye shedow kama jini maimuna .

Ukweli urembo ni kila kitu kwa mwanamke tujitahidini kuwa simpe maana kila kitu kina kiasi kikizidi mtihani.

JINSI YA KUJIPAMBA SIMPLE.
Kwanza kujipamba usoni wanja ndio kila kitu ukipatia kujichora wanja vizuri then ukapaka poda inayoendana na ngozi yako mdada hapa umemaliza shughuri.

Sehemu nyingine ya wanja chini ya kope yahn hii sehemu muhimu sana jichore na wanja vizuri tumia wanja kwa mchana maana eyerayna zingine mchana zinazingua labda usiku lakin mchana kwa ushaur wangu pendelea sana kutumia wanja.bila kusahaua masikara kuchania nyusi zikae fresh.hapa mdada utakuwa simple lakini utakuwa amaizing.

Mwisho kabisa lipstic kama utapendelea sio mbaya kama unajijua mweusi rangi yako hapa inabidi upambane na rangi yako....kwa sisi weupe hatunaga tatizo hapa tunafit rangi karibia zote...kikubwa zile eyeshedow kuzipaka mchana jua kaliii umejikandika mm naona ushamba kwa upande wangu na sipendi nikikutana na mdada kajikandikaaa hayo alafu mweusi tiiiii.

Wadada tujifunzeni kuwa simple kujipanda sana muda mwengine tunawakera watizamaji wetu ila hawana jinsi ndio maana kila siku threed za kutuponda tu.......inabidi tuastiriane wenyewe kwa wenyewe tu hakuna namna
.
Muwe na asubuhi njema.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...