Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na
vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio
maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks.
Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo
itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia
hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia
kutumia nutural remedies/njia asili kima ifuatayo..
1.Tengeneza paste nzito kwa kutumia 1/2
parachichi, kijiko 1 cha olive oil na 1 cha apple cider vinegar.
Changanya vizuri upate mchanganyiko mzito. Paka kwenye mikono yako na
ukae nayo kwa dakika 15 then nawa kwa maji ya uvuguvugu..utaona mikono
imekuwa milaini, fanya hivi kila siku ili upate results nzuri.
2.Chukua apple cider vinegar changanya
na maji kwenye bakuli, kisha loweka mikono yako humo kwa muda. Toa na
uache mikono ikauke yenyewe. Apple cider vinegar inasaidia kuondoa
maumivu kutokana na mikono kukauka sana.
3.Chukua kiini cha yai, juice ya ndimu
na kijiko 1 cha olive oil. Changaya vizuri katika bakuli kisha paka
kwenye mikono yako na kaa nayo kwa dakika 15. Nawa mikono na maji ya
uvuguvugu kisha paka moisturizer.
No comments:
Post a Comment