Wednesday 18 July 2018

NJIA ZA ASILI ZA KUONDOA MIKUNJO USONI

Maandalizi:

changanya vitu hivyo kwenye chombo kimoja na hakikisha kwamba vitu vyote vimechanganyika sawasawa. Hifadhi mchanganyiko huo tayari kwa kuupaka kwenye uso.

TANGO

LIMAO
UTE MWEUPE WA YAI

 

Jinsi ya kutumia:

  • osha uso wako kwa maji na sabuni na hakikisha umeukausha baada ya kuosha uso wako
  • pakaa mchanganyiko wako ulioandaa kwenye uso wako na acha mchanganyiko huo bila kunawa kwa muda wa dkk 15 hadi 20 kabla yakuosha uso wako
  • osha uso wako kwa kutumia maji ya uvuguvugu
 To be continued............

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...