Friday 27 July 2018

Hii Mishono Special kwa wanaopenda Nguo Ndefu


Yasss ,ni weekend right?nakuchia mishono kadhaa hapa uweze kuidesa,hii ni kwa wanaopenda nguo ndefu,but hata wa funpi unaiga mshono kama ulivyo unafanya inakua fupi.
hope you love them
this dress OMH
AMAZING 
Kitenge 
off shouldershii style sijui wanaitaje
Twinning

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...