HAYA KWA WALE WENZETU MANATURALISTAZ PATA STYLE HIZI ZA WIKI NZIMA ZA NYWELE ZAKO.SAA NYINGINE UNACHOKA KUSTYLE STYLE MOJA TU SO TUMEWALETEA STYLE TOFAUTI UTAKAZOWEZA KUSTYLE KWA SIKU SABA.
SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA MAFUTA.
SIKU YA PILI UNACHANA KAMA SIKU YA KWANZA ILA TU UNACHANA WAY YAKO KIASI WAY ITAKAA KAMA WATUMIA MAFUTA NA NATUARAL HAIRSIKU YA TATU CHANA NYWELE ZAKO KWENDA JUU WEKA NA KIBANIO KIDOGO AU KISCARF KULINGANA NA MUONEKANO WAKO WA SIKU HIYO.
SIKU YA NNE WAWEZA TAFUTA MTU AKUSUKE PEMBENI KAMA MISTARI MIWILI MIATATU TU AU AKUSUKE UPANDE MMOJA
SIKU YA TANO UNABANA WANAITA UP DO AMBAYP UNABANA NYUMA NA PEMBENI UNAACHA MBELE KAMA KIDUKU HIVI
STYLE YA SITA KIDOGO YAHITAJI MSUSI MAANA UNASUKA MISTARI MIKUBWA NYUMA NA PEMBENI WASUKA VIMISTARI VIDOGO KATI WASUKA BUTU KUBWA MOJA PICHA WAWEZA MUONYESHA MSUSI WAKO
NA MWISHO NI STYLE YA SABA AMBAYO UKISHASUKWA STYLE YA SITA BASI WEWE SIKU YA SABA WAONGEZEA KISKAFU CHAKO ILA SHURTI UACHE NYWELE KIDOGO MBELE.
SHARE NASI STYLE ZAKO
No comments:
Post a Comment