Monday, 18 June 2018
MUDA SAHIHI WA KUFANYA MAZOEZI KWA MAMA ALITOKA KUJINGUA KWA UPASUAJI,NJIA YA KAWAIDA
Mazoezi ni muhimu kwa afya ni vizuri mama akafanya baada ya kujifungua itamsaidia mwili wake kurudi na kuwa na nguvu kwa haraka,kupunguza uzito wa uzazi.Ila mama anatakiwa kuzingiatia hali ya afya yake ,asifanye mazoezi mazito kwa haraka .
Mwili bado unahitaji kupumzika na kupata nguvu zaidi ,ila mazoezi ya kutembea ni mazuri zaidi baada ya siku moja au mbili kujifungua inakusaidia kuepuka kuganda kwa damu (blood glot), kufanya mzunguko wa damu Uwe mzuri na kusaidia kidonda kipone kwa haraka kwa walio jifungua kwa operation au njia kawaida.
C-section
Mama baada ya kujifungua anatakiwa kuwa makini na mshono ili usifumuke kwa kuepuka kufanya kazi nzito,kubeba vitu vizito. Mazoezi aanze baada ya wiki 8-10 baada ya mshono kukaguliwa na mkunga au daktari na kuona una hali nzuri .
image
MSHONO ULIOPONA VIZURI UNAFANANA HIVYO
Mazoezi fanya mepesi ya kujinyoosha mwili(stretching),kutembea mwendo mrefu mara mbili kwa siku kwa dakika 30 (asubuhi na jioni).Utakapoona sasa mshono wako umekaza na kidonda kimepona ndio unaweza fanya mazoezi ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea,au kubeba vyuma vizito (gym)
Kujifungua kwa njia ya kawaida.(normal vaginal delivery)
Mama aliejifungua kwa njia ya kawaida anaweza anza mazoezi baada ya wiki 4,iwapo kajisikia amepona na ana nguvu ,ataanza na mazoezi mepesi kama kutembea,stretching,push-up,aerobic dance(utaipata you tube).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...
-
:Kumbe Ukosefu wa Makalio Makubwa Unawafanya Wanawake Wasijikubali Unahisi kwanini
-
huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita pep...
-
Mwanamke Kitenge,Ni Ukweli Usiojificha Kuwa Vazi La Kitenge Halitotoka Katika Fashion. Unaweza Kushona Gauni Fupi Kama Hili ...
No comments:
Post a Comment