anessa Mdee ame debut new hair style,a new era for finger waves??
this style its vintage but still inaonekana poa sana if done right ,her style imetengenezwa na americannailstz

Hii style ilikua popular sana miaka 1920’s so issa vintage hair style.

Mastaa wengine walowahi tengeneza hii style ni Kama 

Rihanna juzi kati kwenye Met Gala
Teyana Tyalor

Amber rose 


Danielle Brooks

Katie Holmes

Yara Shahidi
No comments:
Post a Comment