Dua Ya Iftar
“Ewe Mwenyezi Mungu! Mimi nimefunga kwa ajili yako, na nimefuturu kwa riziki yako, nakuamini wewe na ninakutegemea wewe tu”.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu,
“Ewe Mwenyezi Mungu! kwa ajili yako tumefunga na kwa riziki yako tumefungua. Basi tukubalie, kwa hakika wewe ni mwenye kusikia na ni mjuzi mno”.
ALLAAHUMMA LAKA S’UMTU WA A’LAA RIZQIKA AFT’ARTUWA A’LAYKA TAWAWKKALTU
Inasemwa kwamba Imam Ali A.S alipokua akifungulia alikua akisema
BISMILLAH ALAAHUMMA LAKA S’UMNAA WA A’LAA RIZQIKA AFT’ARNAA FA—TAQABBAL MINNAA INNAKA ANTAS SAMEE—U’L’A’LEEM
BISMILLAHIR RAH’MAANIR RAH’EEM YAA WAASI—A’L MAGHFIRATI IGFIR LEE
No comments:
Post a Comment