Kuna wale tulonyimwa nywele kabisa ,kila
kukicha tunahangaika nazo but hazikui wala nini na inakera kuihudumia
nywele halafu bado isiwe na shukurani.
Kuna vyakula hapa ukila mara kwa mara vitakusaidia kukuza nywele zako.
MAYAI
VIAZI VITAMU
SPINACH
WALNUTS
POULTRY
SALMON
SPINACH
WALNUTS
POULTRY
SALMON
GREEK YOGURT
No comments:
Post a Comment