Sio kila mtu ana bahati ya kupata ngozi
laini na nyororo bila kuifanyia kazi. Kwa wengine it a must to work
hard ili kupata that perfect skin you have always wanted.
So Ladies you have to change your
beauty routine, unatakiwa uanze asubuhi yako in a healthy way. Jinsi
unavyoanza siku yako itaonesha kwenye uso wako.
1.TUMIA ANTIOXIDANT SERUM.
Antioxidants kama vile Vitamin C&E hulinda ngozi yako ili isi
dehydrate na pia zile aging radicals zitalindwa from UV-ray pollution na
bad dietary habits(kula vibaya). Paka antioxidant serum baada tu ya
kutoka kuoga, subiri dakika chache then paka moisturizer yako.
2.KULA PROTEIN YA KUTOSHA.
Kula breakfast ambayo ipo high in
protein, husisha mayai, karanga, yogurt nk. Hivi husaidia kujenga
collagen ambayo ndio kitu kikubwa ambacho hukusaidia ngozi yako isizeeke
mapema. Ngozi yako haitokuwa na mikunjo wala kutepeta. Watu ambao hula
protein for breakfast hula kidogo for the rest of the day, na pia
protein husaidia kukuza nywele zako.
3.TUMIA SPF.
SPF ni lazima. Kila mmoja weto anapaswa
kutumia SPF, hata kama wewe ni mweusi. Na kama hutumii kisa tu unaona
kuwa makeup yako na moisturizer yako ina SPF, hiyo haitoshi. Paka SPF
usoni, kwenye shingo, juu ya macho, kwenye lips, nyuma ya mikono, yani
paka sehemu zote ambazo huwahi kuanza kuzeeka.
No comments:
Post a Comment