Common issue kwa wanawake wengi ambayo
wengi inabidi ku cope nayo especially tunapokuwa watu wazima ni MAZIWA
KUANGUKA .Ni kwamba maziwa yanapoteza ile elasticity yake tena na utu
uzima YANA ANGUKA,Hii inazidisha kuwa na self awareness na insecurity
ambayo iko related to appearance mtu unaanza kujichukia au kila siku
kujishtukia kuwa maziwa yameanguka. Maziwa yana poteza ile firmness na
inatokana na mambo mengi kama Mimba,Menopouse,unhealthy diet, rapid
weight gain or weight loss, excessive tanning, unsuitable bras vaeni
braa zinazowatosha , cigarettes, alcohol na nyinginezo.Linapokuja swala
la mimba sio Kunyonyesha ndo kunafanya maziwa kuanguka bali ni ile
weight gain baada na kabla ya kujifungua.
NJIA ZITAKAZO SAIDIA KUZUIA MAZIWA KUBADILIKA (muwe wavumilivui hizi njia ni slow )
1.Maintain a healthy weight muwe na ule mwili healthy maintain mwili wako usiwe overweight.
2.Drink plenty of water Maji wanasema ki afya kuanzia lita 3 na kuendelea tujitahidi jamani.
3.Follow a healthy diet and workout routine hapa healthy diet means badili mfumo wako wa maisha na anza kula healthy iwe ndo maisha sio ile unakula mwezi ukipungua warudia tena mi chips.
4.Regularly apply oils or creams made of pomegranates or aloe vera.
5.There are also some treatments which can be extremely efficient in preventing sagging breasts:

6.Physical exercise targeting the chest area, such as push-ups, weight-lifting, etc.
7.Breast massages, preferably with ice.
8.Breast massages with vegetable and essential oils.
–
RECIPE: Recipe hii waweza tengeneza/andaa mwenyewe nyumbani kwako.7.Breast massages, preferably with ice.
8.Breast massages with vegetable and essential oils.
–
Mahitaji
1 Mtindi ( kulingana na wingi wa mchanganyiko unaotaka)
2 vitamin E oil (yanapatikana madukani)
3 Mayai
Maelekezo
Changanya mtindi,mayai na mafuta yenye Vitamini E kwa pamoja (changanya mchanganyiko vizuri)
Paka mchanganyiko huo kwenye Maziwa na fanya ku massage taratibu ,Acha kama Saa moja na Nusu halafu osha na maji safi ya baridi.
No comments:
Post a Comment