Saturday, 26 May 2018

Mishono hii yaweza Kukufaa Una Sare au kitambaa cha Silver Hujui Ushone Vipi???


Tucheki sasa hivi mishono kwa colors,itasaidia wale wanaoshona sare au wenye vitambaa vya aina flani waweze kuchagua mishono na kuona vitambaa vyao vikishonwa vina kaaje mwilini au kwenye nguo ikishonwa.
Humu ni silver na rangi ya kuchanganyia ,zingine ni plain silver .
off shoulders 
perfect for a send off dress 
hapa kachanganya na black lace
love this
Haka kamshono ka upande wa kulia amazing sana
waweza mix na velvet pia 
with blue 



No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...