Good morning,leo Dar kumekucha vizuri sana kuna ka baridi na kamvua mvua flani ,basi hali ya hewa ni shwari.
Karibu kwenye Walonoga.

Happy belated birthday to Mama Dee
umenofa na kivazi chako cha silver 

she been queening


Another belated birthday to the activist Dorice Mollel
love her Maasai ensemble 


Hongera binti Zuwena aka shilole kwa kufunga ndo na bwana Uchebe 

Insha Allah kheir ndoa yenu idumu ,mje kuzikana 

Kada Jokate Mwegelo wearing a kitenge with fringe effect kutoka kwa Mac couture 

Jojo







Julitha Kabete is just sooo beautiful 

Wema we are loving your wide leg pants lately,Jacques collection kakupatia haswaaa 

Jocelyn Maro on the runway kwa Swahili Fashion Week 

she slays

Hongera nyingi kwa dada yetu Sakina Lyoka kwa kufunga ndoa jamani
reception ilikua hivi

reception ilikua hivi
Miss Pendo Mkurugenzi wa Lavie makeup


kunoga vepee 

Jocelyn you killed it kwa hii maternity shoot

Rapper stamina nae amvisha pete mchumba wake Veronica huko Morogoro

Nahreel na Aika navy kenzo wamejaaliwa kupata mtoto wa kiume,jina ni Gold
hongera nyingi kwa new parents
No comments:
Post a Comment