Manolo Blahnik and Rihanna did a collaboration ya sandals na moja ya sandals zilipewa jina la POISON IVY,amazing Crystal and PVC Detail Knee High Gladiator Sandals.

Tuliziona Rihanna akiwa amevaa kwenye Video ya wild thought aloshirikishwa na Dj Khalid

You can take these babies home kwa $ 2325

So hapa bongo kavaa Hamisa Mobetto na Nandy

Nandy


Hamisa
No comments:
Post a Comment