Saturday 28 October 2017

Mishono;The Amazing Khadija Mwanamboka

Da Khadija Mwanamboka ni Legend fashion designer hapa Bongo,she inspires me a lot kwanza ni kwakukaa kwenye game muda mrefu and still be relevant,kingine ni shughuli zake za kijamii ,from kusaidia watoto yatima ,now akiwa Balozi wa Sense International akiwa ana give back fashionably through her Pendeza kids collection ambayo itasaidia watoto hawa wenye deaf blindness pia mjasiriamali akiwa na Kampuni yake ya  VVK .
Why is she our WCW
Ni mfano wa kuigwa Ni fashion designer with 20 years  experience ,ni entrepreneur VVK Vitu vya Khadija kama VV K Accessories anauza then ni Philanthropist if she cant inspire you i don’t know what will.
Nilipata opportunity ya kwenda na Da Khadija Zanzibar alipokua akitoa awareness about sense International na tukawa tunaongelea where i would love to go for vacations ,tukapitia point ya fashion cities akanaiambia since you love fashion you have to go to fashion cities i was like nuh Da Khadija sina hela za kwenda huko she was like Middy i went to New York nikiwa 19 just jipange you can do it .Da Khadija uliposema tu hivi it changed me kabisa kwamba if i want something i can get it i just need /have to work hard for it.
VVK Accessories
Hapa akiwa London kwenye ku launch Pendeza Kids Collection.
Support her cause kwa kununua Pendenza kids collection more info on Khadija Mwanamboka
Maduka yanayouza ni Kiki’sfashion na Bijoux trendy .

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...