Saturday 28 October 2017

Angalia Picha za Send off ya Joti na mchumba wake soon Wanakuwa MWILI MMOJA.

Kila mara tukiona Joti anaoa au yuko kwenye sherehe kama send off hivi wengi tunadhani ni tangazo and tuna anza kutoa caption mwisho wa siku tunakuta Tangazo sio huku tushasema kaoa labda ,but this time its real.
Anakaribia kuoa na hizi zilikua picha za Send off siku alokabidhiwa jiko lake na wakwe zake.
engagement photo shoot
Pre wedding pictures
na best man wake Seki

walipendeza sana

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...