Friday 13 April 2018

Ilianzia kwenye HASHTAG ::: Juma Jux Apata Dili China #africanboy x #vendome

Juma Jux muimbaji wa RnB Bongo, kupitia brand yake ya African Boy amesaini dili nchini China na kampuni ya VNDOME .
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux aliandika kwamba alipoanza #AfricanBoy ilikua tu ni # satatement kuhusu yeye kama kijana wa ki Africa na maisha yake akiwa anasoma China.
When I started #AfricanBoy it was a just a hashtag statement about being a young African living, hustling and studying in China. The brand became me and I became the brand from TShirts to BackPacks to Shoes you name it. Today I signed a smart and very lucrative deal with Chinese manufacturer Vendome. This would’ve been impossible without YOU. You made #AfricanBoy yours and you made it GLOBAL.
Video Player
00:00

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...