Saturday 13 January 2018

UKWELI KUHUSU LEMUTUZ NA KIBAMIA



NAOMBA NIONGELEE HILI LA LEMUTUZ. Mimi nadhani Umeishayasikia Ambayo watu wanamzungumzia Lemtuz kwenye Mitandao Kwamba Yeye Ana Kibamia yaani Uume Mdogo. Kiufupi niseme kwamba hammtendei haki @lemtuz_superbrandtz. Kwa sababu ninachojua mimi ni kwamba mwanaume yoyote yule Aliyekamilika Duniani anapokuwa ametoka kuoga. Mara nyingi uchi wake yaani Mb*o huwa inasinyaaa Upungua kurudi Ndani Especially kama mtu ameoga maji ya Baridi na Kadharika. Hivyo kwa wakati Huo Uume kwa Vyovyote Uonekana Mdogo. Sasa Inapotokea watu Wanaanza kumshambulia na kumkashifu mtu kwa kuona uchi wake akiwa ametoka kuoga. Niseme wazi Kuwa unakuwa humtendei haki. Kwani Mimi hapa @daktari_wamapenzitz haya mambo nakutana nayo sana na Ni matatizo ya kawaida tu. Lakini hata kama mtu ana kipele/kibamia haya bado ni mapenzi ya Mungu. Kwani yeye hakujiumba hivyo hana kosa ktk hilo. Labda Uume uwe umesinyaa kutokana na Kupiga nyeto, ama kutailiwa/Tohara Akiwa Mdogo sana inaweza kupelekea kuwa na uume mdogo na haimaanishi mtu mwenye uume mdogo hajui kutiana mpaka mwanamke akapagawa No!. All in all ina maana sasa wale Mnaomcheka Lemutuz ata kama Ana Kiuboo kidogo mna maanisha ata leo tukikutana na Vilema ama wenye Matatizo tuanze kucheka vilema na viwete Kwasababu wao hawana viungo vilivyokamilika. Sina Uamuzi juu ya nini Uamue kufanya na kusema Lakini mimi binafsi nadhan Watanzania tujitafakari zaidi juu ya Hili. Kisha Tuachane na Hili. Kwa Leo Naishia Hapa. Ni mimi @daktari_wamapenzitz. Kama Una shida Yoyote ya Mapenzi, Ushauri. Njoo DM Utasaidiwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Weusi Kwa (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients

Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na ...